Visit Sponsor

Written by 10:48 am KITAIFA Views: 7

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI NANYAMBA MTWARA

Inbox

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Wananchi wa Nanyamba mjini ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.

Wananchi wa Nanyamba mjini wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.

About The Author

(Visited 7 times, 1 visits today)

Last modified: September 16, 2023

Close