Visit Sponsor

Written by 2:10 pm KITAIFA Views: 190

BASHUNGWA ATEULIWA WAZIRI MPYA WA UJENZI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ujenzi. Kabla ya uteuzi huo Bashungwa alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

About The Author

(Visited 190 times, 1 visits today)

Last modified: August 30, 2023

Close