Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Viongozi wa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika 2023 katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani leo tarehe 8, Juni 2023.
Baadhi ya Viongozi wanaoshiriki mafunzo ya Viongozi wa Vyama Vya Ukombozi Kusini mwa Afrika 2023 katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani leo tarehe 8, Juni 2023.
About The Author
Last modified: June 8, 2023