Visit Sponsor

Written by 12:52 pm KITAIFA Views: 132

SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUHIMIZA UWAJIBIKAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma wakati wa kikao kazi chake na Makamishna hao kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma wakati wa kikao kazi chake na Makamishna hao kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (kushoto) akimsikiliza mmoja wa Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma (hayupo pichani) wakati akitoa neno la shukrani kwa Waziri huyo kwenye kikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa Makamishna hao. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jaji (Mst.) Hamisa Kalombola

Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Balozi John Haule akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene mara baada ya Waziri huyo kuzungumza nao kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akikaribishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Mhe. Jaji (Mst.) Hamisa Kalombola kushiriki kikao kazi kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.

About The Author

(Visited 132 times, 1 visits today)

Last modified: June 8, 2023

Close