Visit Sponsor

Written by 10:26 am KITAIFA Views: 24

RAIS WA KENYA, WILLIAM RUTO AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, HAMAD MASAUNI KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA ID4AFRICA JIJINI NAIROBI

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Somoei Ruto akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati alipokuwa anawasili Ukumbi wa Mikutano wa South C, jijini Nairobi nchini Kenya, leo Jumatano tarehe 24 Mei, 2023, kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa ID4AFRICA unaojadili masuala ya Ikolojia ya Utambuzi. 

About The Author

(Visited 24 times, 1 visits today)

Last modified: May 30, 2023

Close