Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amewasili wilayani Bukombe akiongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) tayari kwa kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Wilaya ya Bukombe pamoja na uzinduzi wa ukumbi mkubwa wa mikutano wa CCM Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita.
About The Author
Last modified: May 30, 2023