Visit Sponsor

Written by 12:57 pm Uncategorized Views: 36

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11
Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Mhe. Leontine
Nzeyimana mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.

About The Author

(Visited 36 times, 1 visits today)

Last modified: March 11, 2024

Close